Mshambuliaji wa klabu ya Atletico Madid na timu ya taifa ya Ufaransa Antoine Griezmann amefunguka kuhusu tuzo za mchezaji bora wa Dunia Ballon d’or na kusema kuwa ni za ‘ajabu’
Griezmann licha ya kuzisaidia timu zake kutwaa mataji lakini hayupo kwenye orodha ya wachezaji watatu wanaowani tuzo ya mchezaji bora wa FIFA pia hakuwepo kwenye tuzo za mchezaji bora wa Ulaya UEFA ambazo zilifanyika katika mji wa Monaco.